IFAHAMU BURUTE SACCOS LIMITED
BURUTE SACCOS LTD ilisajiliwa mnamo tarehe 11 Oktoba 2006 chini ya kifungu cha 27 cha Sheria ya vyama vya ushirika. Na 20 ya 2003 kuboresha afya ya kifedha ya watumishi wa umma kwa kuboresha huduma bora za kifedha.
Tangu kuanza kwake BURUTE SACCOS LTD imeweza kuwa na wanachama zaidi ya 1500 katika halmashauri ya wilaya ya Missenyi na Bukoba ambayo imesaidia kuinua hali yao ya kifedha kupitia akiba na mikopo yao.
Madhumuni ya BURUTE SACCOS ni kuimarisha hali za kiuchumi na kijamii za wanachama wake kwa kufuata na kuzingatia kanuni za vyama vya ushirika, sera ya maendeleo ya ushirika na sheria ya vyama vya ushirika na kanuni zake.
DIRA YETU
DHAMIRA YETU
Dhamira yetu ni kutoa huduma zinazoendana na mahitaji halisi ya Wanachama kwa Teknolojia za kisasa
SACCOS FAMILIA YENYE FURAHA
MICHEZO NI AFYA
AKIBA YA HIARI NA AKIBA YA LAZIMA
AMANA ILIYOWAZI NA AMANA ILIYOFUNGWA
-
MKOPO WA DHARURA NA MKOPO WA MAENDEREO
MPESA,TIGOPESA, CRDB