Mambo ya kufanya ili kujiunga BURUTE SACCOS LTD

1.Awe mwenye umri usiopungua miaka 18

2.wombaji anatakiwa kujaza fomu ya maombi ya kujiunga na chamainayotolewa kwenye ofisi ya chama

3.Mwombaji atatakiwa kulipa kiingilio cha shilingi elfu ishirini (20,000/=),passbook & kadi elfu kumi (10,000),hisa nne @10,000 (40,000).

4. Mwombaji atatakiwa kumiliki angalau hisa zisizopungua laki nne (400,000)

5.wombaji atatakiwa kujiwekea akiba kwa kiasi kisichopungua elfu hamsini (40,000/=) kwa kila mwezi.

6.wombaji atatakiwa ajaze fomu ya maombi ya uanachama inayopatikana ofisini ama kwenye na tovuti yetu na kuileta ofisini

7.Mwanachama akishathibitishwa na Mkutano Mkuu jina lake litaorodheshwa kwenye daftari la Uanachama.