Mkopo huu hutolewa kwa wanachama kwa ajili ya wanachama wanaohusiana na elimu.
Mkopo huu hutatolewa bila riba.
Ada ya maombi ya mkopo ni asilimia 5.
mkopaji atakopeshwa mara 2 ya akiba zake (akiba maalumu kwa ajili ya elimu na akiba hizo azitahusiana na akiba ya lazima)
kiwango cha mchango wa akiba ya elimu kitaanzia kwa Tsh.20,000.
mkopo utarejeshwa kwa njia ya standing order kwa kujaza fomu ya standing order ya akaunti ambapo mshahara wake unapitia.
mkopo huu utarejeshwa kwa mda wa mwaka mmoja
endapo mwanachama atakufa,akiba zake za mifuko mingine zitatumika kulipa mkopo.
mwanachama hatolipwa faida juu ya akiba kwa aliyekopa isipokuwa ambaye hajakopa