MKOPO WA NIWEZESHE

-

Mkopo huu hutolewa kwa kipindi kisichozidi miezi thelathini na sita (MIAKA MITATU).

Mkopo huu utatolewa kwa mwanachama ambaye tayari anao mkopo wa maendeleo

Riba ya mkopo huu ni Asilimia 13% kwa mfumo wa kushuka.

Mkopo huu utakatwa kwenye hati ya mshahara

Ada ya maombi ya mkopo ni 1.5%

FOMU YA MKOPO WA NIWEZESHE

WADHAMINI

Hakikisha wadhamini wawili ambao ni wanachama hai wa BURUTE SACCOS LIMITED wamekusainia fomu yako